Jumatano, 4 Novemba 2015
UVIMBE
KWENYE KIZAZI ONGEZEKO LAKE LINATISHA SABABU NI NINI?
FIBROID NI NINI?
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe
unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya
kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.
Kuna aina kuuzifuatazo za fibroids:
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)
Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.unene
5.kuingia hedhi mapema
Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea
kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma
kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka
kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka
wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam
leomyoma.
Dalili za fibroids
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn
mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi
kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpango
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi
Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.
1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu
Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka
kwenye kiwanda yan ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye
kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia husuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa
ya kupitisha mayai.
MATIBABU
1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina
dalili hawawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito
uvimbe unaongexeka coz ya vichocheo kuongezeka hvyo hawa watu
tunawabaini tunapofanya ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lkn kitaamu
hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii
2.Uvimbe ambao ni mkubwa wenyewe hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital)
A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawez
kumudu kununua
B.Vidonge vya maumivu
C.Vidonge vya kuzuia damu km tranexamic acid na dawa za uzazi wa
mpango(COCs)
2.Njia ya pili ni operation nazo zipo operation aina nyingi inategemea
na uvimbe ukubwa na wingi wake.
1.Myomectomy hii ni operation ya kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila kuondoa
kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri
2.Total abdominal hysterectomy. Hii operation unaondoa kizazi chote kama
uvimbe umekaa vibaya na viko vingi.
Swali la kujiuliza kwa nini mpaka upate dalili ndo utaanza
kushughulikiwa kutibiwa???? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa
bado mdogo???
Kumbuka uvimbe huu sio kansa hvyo ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo
ni ya gharama na haishauliwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha
mwanamke anakua na sifa za kiume.UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE
UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA.
Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa ambao imetengenezwa kitalamu katika
mfumo wa vidonge na vimetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na
majaribio ya kutosha na viwanda vya madawa vikubwa hapa duniani.
Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo
imefanyiwa research.
Hii dawa inapunguza uvimbe wa fibroid bila madhara kama donazol. Kama
una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo na mshilikishe kuokoa afya
yake.
1.GINSERNOSIDE
-Hii dawa inajulikana kama mfalme wa kusambaza uvimbe wowote na kuzuia
kansa kusambaa na kuendelea kushambulia mwili. Pia ina boost kinga ya
mwili kwa watu wenye kinga iliyoshuka kutokana na kansa na magonjwa
mengine. Dawa hii inasambaza uvimbe kwa kupunguza kiasi cha damu
kinachokimbia kuelekea uvimbe hivyo uvimbe hautaendelea kukua hata
kidogo.
2. Aloe softgel
Utafiti unaonesha kuwa aloe ndio mmea mashuhuri kusawazisha kiasi cha
uchovyaji wa vichocheo mwilini yani hormoni. Hivyo utafiti pia unasema
watu wengi wenye vichocheo vingi vya ESTROGEN wako hatarini kupata
UVIMBE MBALIMBALI MWILINI uvimbe huu huitwa ESTROGEN DEPENDANT TUMORS.
Hii ni kwamba uvimbe huu unakua kwa kasi panapokua na kiasi kingi cha
estrogen. Watu hawa pia wako hatarini kupata kupata KANSA MBALI MBALI ZA
KIKE kama KANSA YA MATITI, KANSA YA SHINGO YA KIZAZI NA ZINGINEZO. Sasa
suluhisho lipo litakalo hakikisha huna tatizo lolote uzeeni na kupata
matatizo haya ukubwani. Pia aloe inaondoa FREE RADICALS AU HEAVY METALS
ambazo ni vibadilisha mfumo wa utendaji kazi mwilini. Pia inasafisha
mfumo wa chakula mwilini. ALOE NDIO KILA KITU KWA WANAWAKE AMBAE YUKO
TAYARI KUJIKINGA NA KANSA AINA ZOTE,UVIMBE NA MAGONJWA SUGU.
3. FUR SEAL OIL
Haya ni mafuta mazuri aka GOOD CHOLESTERAL OMEGA THREE. Utafiti
unaonesha kuwa watu wengi wenye mafuta mengi MABAYA yani BAD CHOLESTERAL
wako hatarini kupata UVIMBE NA KANSA MBALIMBALI. Pia mafuta mabaya ndio
kisababishi kikubwa cha KICHOCHEO CHA INSULIN KUPATA KIZUIZI KATIKA
UTENDAJI KAZI(INSULIN RESISTANCE) Ndicho kisababishi pia cha KISUKARI
UKUBWANI. Ewe mwanamke aina hii ya fur seal oil iko concentrated na ina
uwezo mkubwa wa kuondoa mafuta mabaya mwilini. USICHELEWE KWANI AFYA
NDIO PEKEE ITAKUFANYA UFURAHIE PESA UNAYO ITAFUTA LEO HII.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni