Jumatano, 4 Novemba 2015


SOY ISOFLAVINE

Hiki ni kirutubisho kilichotengenezwa kwa maharage ya soya na njerege.Isoflavine ambayo ni mahususi kwa vichocheo vya kike Kama Estrogen.

Kazi kubwa ya Soy Isoflavine

=Inasaidia mfumo wa uzazi kwa mwanamke,kufanya kazi vizuri na kuimarisha Mayai yake kupevuka.
=Kuongeza Kazi za ovary Kama ulishawahi kutumia njia ya uzazi wa mpango na kwa sasa unahitaji mtoto.
=Kutibu maumivu wakati wa tendo la ndoa.
=Kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
=Inaondoa matatizo ya maumivu ya mifupa,na matatizo yote yanatokea wakati wa kuingia Kwenye ukomo wa hedhi (menopause).
=Inachelewesha kuzeeka mapema na kufanya ngozi kuwa na afya na ang'avu.
Note:Wanawake wengi wana upungufu wa Estrogen au kuongezeka kwa vichocheo kunakosababisha kupunguza kiasi cha damu kinachoenda Kwenye via vya uzazi na kusababisha kupungua kwa majimaji ukemi.Kama una matatizo hayo jipatie kirutubisho hiki.
https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1193202090767356&set=pcb.1546173535639010&type=3&relevant_count=1

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni