Jumatano, 4 Novemba 2015

MAGONJWA YANAOWEZA KUAMBATANA NA TATIZO LA UNENE ULIOPITILIZA -Kisukari -Shinikizo la damu (hypertension) -Kiharusi (Stroke) -Magonjwa ya moyo -Tatizo la kutopumua vizuri wakati mtu yupo usingizini (Sleep apnea) -Vijiwe katika mfuko wa nyongo (Gallstones) -Kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu (cholesterol ikiwemo triglycerides) -Ugonjwa wa mifupa kama yabisi (osteoarthritis). -Saratani ya matiti -Saratani ya tezi dume (prostate cancer) -Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa (Colorectal cancer) -Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu kama vile kuvimba kwa vena za miguuni (varicose veins) Tiba ya tatizo hili ni mhusika kujitambua ya kwamba ana tatizo na kuwa tayari kupunguza uzito. Mabadiliko ya tabia ya mhusika ni muhimu sana, mabidiliko haya yawe ndio mfumo wa maisha yake ya kila siku. Kupungua uzito na kujilinda au kutunza uzito ulionao baada ya kupunguza uzito ni jambo la msingi sana na inahusisha mazoezi, chakula na madiliko ya tabia ya mtu. MABADILIKO YA TABIA - Hii inahusisha muhusika kupunguza kiwango cha chakula anachokula lakini kiwe chenye virutubisho vyote muhimu vya afya na kuongeza kiwango cha ufanyaji mazoezi. Mazoezi - Mazoezi husaidia kupunguza uzito hasa kipindi cha miezi sita ya mwanzo na hutunza uzito uliokusudiwa kwa muda mrefu. Pia hupunguza mafuta ya mwilini, huongeza ufanisi wa moyo, hupunguza tatizo la shinikizo la damu (hypertension), na kuweka sukari katika kiwango kinachohitajika mwilini. Kama hujazoea kufanya mazoezi ni vizuri uanze taratibu na ujiwekee lengo kwa kufanya mazoezi kwa muda wa nusu saa kila siku, siku tano kwa wiki,(dakika 30 kila siku kwa siku tano kwa wiki). Mazoezi mazuri ni kama kuogelea, kuendesha baiskeli, kutembea, kunyanyua vitu vizito (visiwe vyenye uzito mkubwa), mazoezi ya viungo na kadhalika. CHAKULA - Msingi wa kupunguza uzito au unene ni kujua ni kiwango gani cha calories mwili wako unahitaji kwa siku ili ule unakula chakula ambacho hakitazidisha au kupunguza kiwango cha calories unazohitaji kwa siku. Mlo mzuri ni ule ulio na matunda kwa wingi, mboga za majani, nafaka ambazo hazijakobolewa, mafuta kidogo (less saturated fat). Vyakula vengine ni kama mayai, nyama isiokuwa ya mafuta (lean meat), samaki, kuku na vingineyo. WANAWAKE AMBAO WANA UZITO WA KUPITILIZA (OBESE WOMEN) WAKIWA WAJAWAZITO WAKO KWENYE HATARI YA KUPATA MADHARA YAFUATAYO; -Kisukari cha mimba (Gestatitional diabetes) - ---- -kisukari hiki kinatokea wakati wa ujauzito na hupotea baada ya kujifungua mtoto. -Shinikizo la damu (hypertension) wakati wa ujauzito -kifafa cha mimba (pre-eclampsia & eclampsia) -Kuzaa kwa njia ya upasuaji (caesarean section) -Tatizo la kiumbe kutopata hewa vizuri wakati wa ujauzito (fetal distress) Ondokana na tatizo hili kwa kupata virutubisho asili :vitakavyo Ondoa mafuta yaliyozidi mwilini. :vitakavyo kupunguza uzito na unene wa mwili wako. :Vitakavyoondoa mafuta katika damu. :Kurekebisha mafuta katika tishu. :Vitaondoa sumu mwilini

SOY ISOFLAVINE

Hiki ni kirutubisho kilichotengenezwa kwa maharage ya soya na njerege.Isoflavine ambayo ni mahususi kwa vichocheo vya kike Kama Estrogen.

Kazi kubwa ya Soy Isoflavine

=Inasaidia mfumo wa uzazi kwa mwanamke,kufanya kazi vizuri na kuimarisha Mayai yake kupevuka.
=Kuongeza Kazi za ovary Kama ulishawahi kutumia njia ya uzazi wa mpango na kwa sasa unahitaji mtoto.
=Kutibu maumivu wakati wa tendo la ndoa.
=Kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
=Inaondoa matatizo ya maumivu ya mifupa,na matatizo yote yanatokea wakati wa kuingia Kwenye ukomo wa hedhi (menopause).
=Inachelewesha kuzeeka mapema na kufanya ngozi kuwa na afya na ang'avu.
Note:Wanawake wengi wana upungufu wa Estrogen au kuongezeka kwa vichocheo kunakosababisha kupunguza kiasi cha damu kinachoenda Kwenye via vya uzazi na kusababisha kupungua kwa majimaji ukemi.Kama una matatizo hayo jipatie kirutubisho hiki.
https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1193202090767356&set=pcb.1546173535639010&type=3&relevant_count=1
UVIMBE KWENYE KIZAZI ONGEZEKO LAKE LINATISHA SABABU NI NINI? FIBROID NI NINI? Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi. Kuna aina kuuzifuatazo za fibroids: 1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi) 2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi) 3. Subserosal(nje ya kizaz) Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids 1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa 2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma 3.kurithi 4.unene 5.kuingia hedhi mapema Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma. Dalili za fibroids 1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi. 2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe. 3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana. 4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu. 5.hedhi zisizokuwa na mpango 6.maumivu wakati wa tendo la ndoa 7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa 8.maumivu makali wakati wa hedhi Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo. 1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo 2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo 3.Haja kuwa ngumu 4.miguu kuvimba 5.kupungukiwa damu Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto: 1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yan ovari 2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids 3.Pia husuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai. MATIBABU 1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hawawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongexeka coz ya vichocheo kuongezeka hvyo hawa watu tunawabaini tunapofanya ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lkn kitaamu hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii 2.Uvimbe ambao ni mkubwa wenyewe hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital) A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawez kumudu kununua B.Vidonge vya maumivu C.Vidonge vya kuzuia damu km tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs) 2.Njia ya pili ni operation nazo zipo operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake. 1.Myomectomy hii ni operation ya kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri 2.Total abdominal hysterectomy. Hii operation unaondoa kizazi chote kama uvimbe umekaa vibaya na viko vingi. Swali la kujiuliza kwa nini mpaka upate dalili ndo utaanza kushughulikiwa kutibiwa???? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo??? Kumbuka uvimbe huu sio kansa hvyo ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauliwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA. Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa ambao imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa vidonge na vimetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha na viwanda vya madawa vikubwa hapa duniani. Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo imefanyiwa research. Hii dawa inapunguza uvimbe wa fibroid bila madhara kama donazol. Kama una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo na mshilikishe kuokoa afya yake. 1.GINSERNOSIDE -Hii dawa inajulikana kama mfalme wa kusambaza uvimbe wowote na kuzuia kansa kusambaa na kuendelea kushambulia mwili. Pia ina boost kinga ya mwili kwa watu wenye kinga iliyoshuka kutokana na kansa na magonjwa mengine. Dawa hii inasambaza uvimbe kwa kupunguza kiasi cha damu kinachokimbia kuelekea uvimbe hivyo uvimbe hautaendelea kukua hata kidogo. 2. Aloe softgel Utafiti unaonesha kuwa aloe ndio mmea mashuhuri kusawazisha kiasi cha uchovyaji wa vichocheo mwilini yani hormoni. Hivyo utafiti pia unasema watu wengi wenye vichocheo vingi vya ESTROGEN wako hatarini kupata UVIMBE MBALIMBALI MWILINI uvimbe huu huitwa ESTROGEN DEPENDANT TUMORS. Hii ni kwamba uvimbe huu unakua kwa kasi panapokua na kiasi kingi cha estrogen. Watu hawa pia wako hatarini kupata kupata KANSA MBALI MBALI ZA KIKE kama KANSA YA MATITI, KANSA YA SHINGO YA KIZAZI NA ZINGINEZO. Sasa suluhisho lipo litakalo hakikisha huna tatizo lolote uzeeni na kupata matatizo haya ukubwani. Pia aloe inaondoa FREE RADICALS AU HEAVY METALS ambazo ni vibadilisha mfumo wa utendaji kazi mwilini. Pia inasafisha mfumo wa chakula mwilini. ALOE NDIO KILA KITU KWA WANAWAKE AMBAE YUKO TAYARI KUJIKINGA NA KANSA AINA ZOTE,UVIMBE NA MAGONJWA SUGU. 3. FUR SEAL OIL Haya ni mafuta mazuri aka GOOD CHOLESTERAL OMEGA THREE. Utafiti unaonesha kuwa watu wengi wenye mafuta mengi MABAYA yani BAD CHOLESTERAL wako hatarini kupata UVIMBE NA KANSA MBALIMBALI. Pia mafuta mabaya ndio kisababishi kikubwa cha KICHOCHEO CHA INSULIN KUPATA KIZUIZI KATIKA UTENDAJI KAZI(INSULIN RESISTANCE) Ndicho kisababishi pia cha KISUKARI UKUBWANI. Ewe mwanamke aina hii ya fur seal oil iko concentrated na ina uwezo mkubwa wa kuondoa mafuta mabaya mwilini. USICHELEWE KWANI AFYA NDIO PEKEE ITAKUFANYA UFURAHIE PESA UNAYO ITAFUTA LEO HII.
PIRULINA PLANTESIS
Ni kirutubisho kilichotengenezwa kwa mimea ya baharini ijulikanayo Kama Arthrospira Plant,kidonge Kimoja cha spirulina ni sawa na mtu aliyekula kilo moja ya matunda na kilo moja ya mboga za majani.

KAZI YA SPIRULINA
1-Huongeza CD4 kwa wenye HIV
2-Ina control high blood pressure
3-Husaidia kwa watumiaji wa computer na simu kwa muda mrefu.
4-Inaondoa mafuta mwilini.
5-Inalinda mwili kupata Kansa.
6-Inaondoa sumu Kwenye damu.
7-Huondoa ugonjwa wa kusinzia.
8-Ina vitamin B1,B2,B3,B6 na B9 pia ina vitamin C,D,A, na K
9-Inasaidia kwa wajawazito kumpatia mtoto virutubisho tumboni.
10-Inasaidia kwa watu wenye aleji ya kitu chochote.
11-Huongeza kinga ya mwili (Immunity)https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1197244223696476&set=gm.1549691081953922&type=3

MBOLEA YA ASILI ISIYO NA KEMIKALI
BIO PLUS ORGANIC SEA WEED FERTILIZER

Hii ni mbolea imetokanna na mimea au maotea ya majini. Hii ni mbolea ambayo ni ya asili kabisa kwani imetengenezwa kwa kuvundika mimea hii ya baharini na haina madhara kwa binadamu na mnyama yeyote.
Hii mbolea inafaa kutumia kwa kuchanganya na viua wadudu vyovyote ambavyo ni aside au basic kwani utendaji kazi wake haudhuriki kabisa na kuchanganya mbolea hii na viua wadudu.

VIAMBATA VYA MBOLEA
1. Mbolea hii ina vichocheo vya mimea ambavyo ni asili kabisa kama AUXINS,CYTOKINS na GIBBERELLINS ambavo hivi ni NATURAL PLANT HORMONES vina uwezo mkubwa wa kufanya mazao yako yaweze kumea vizuri na hatimaye mavuno mazuri
2. Mbolea hii ina madini zaidi ya sabini ambayo yana uwezo mkubwa wa kustawisha na kuimarisha mazao yako kwa kiwango cha juu kabisa.

KAZI ZA MBOLEA HII
1. Inaongeza uwezo wa mmea wako kuweza kufyonza madini na lishe mbali mbali kutoka kwenye udongo na pia kuotesha mizizi haraka
2. Inaongeza uwezo wa mimea yako kujitengenezea chakula chake wenyewe
3. Ina uwezo wa kuhifadhi unyevu nyevu katika udongo kwa muda mrefu
4. Inafanya mmea wako uweze kuhimili ukame,ubaridi na magonjwa mbali mbali
5. Inafanya mmea wako uweze kuota mapema kuongeza wingi wa mizizi na mimea kuwa na afya
6. Inaongeza kiwango cha mavuno ya mazao yako
7. Inaongeza muda wa matunda au mazao yako kukaa muda mrefu baada ya mavuno kama ukitumia hii mbolea siku kumi kabla ya kuvuna mazao yako.

MIMEA AMBAYO INASTAHILI MBOLEA HII
Mbolea hii inaweza kutumika katika mimea au mazao mbali mbali kwa mfano MATUNDA YOYOTE,MBOGA ZA MAJANI,MAZAO YA NAFAKA,DAWA ZA MITISHAMBA,MAUA,NYASI,PAMBA,NYANYA,HOHO,BILINGANYA,VITUNGUU nk

1. PAMBA
MATUMIZI
1. A. Unaweza kutumia kuloweka mbegu zako kabla ya kupanda
B. Chukua 40mls za bioplus weka kwenye 20litres za maji. Inashauliwa kuwa utumie kiwango cha mbolea chenye kiwango cha 60 mls -90 ms kwa hekari moja. Loweka mbegu zako kwa masaa 5-10 ndipo uzitoe tayari kwa kupandwa.
2. wakati wa kutoa maua unashaliwa kutumia kiwango cha 180mls kwa hekari moja. Changanya 13-20mls za mbolea kwenye lita 20 za maji. Kasha nyunyuzia hiyo mbolea kwenye mazao yako.

MPUNGA
1. KULOWEKA MBEGU
Chukua 60-90 mls za mbolea ya bio plus kisha changanya kwenye lita ishirini ya maji. Hiki kiwango unaweza kubadili kulingana na lita za maji unazotumia hivyo unaweza tafuta ni kiasi gani cha dawa unachohitaji kuchanganaya kwenye maji husika.Weka mbegu zako kwenye maji masaa manane mpaka kumi ndipo uzitoe tayari kwa kupandwa
2. BAADA YA KUANZA KUTOA MAUA
Chukua 13-20 mls weka kwenye maji ya lita ishirini na kisha nyunyuzia mazao yako. Hakikisha kuwa hekari moja hauzidishi kiasi cha mbolea chenye wingi wa 240 mls kwa hekari moja

MAHINDI
1. KULOWEKA MBEGU
Tumia 40mls za bioplus kuchanganya kwenye 20litre za maji. Kubuka hii ni kiwango kikubwa hivyo unaweza kutafuta kiwango cha mbolea kwa matumizi yako kwa mfano lita tano utahitaji kiwango cha mbolea kiasi gani? Weka mbegu zako ndani ya mbolea kwa muda wa masaa 8-10
2. MAHINDI YAKISHATOA MAJANI,MAUA
CHUKUA 20 mls za mbolea weka kwenye maji 20litres kisha nyunyuzia mahindi yako. Usizidishe 720mls za mbolea kwa hekari moja

MBOGA ZA MAJANI
Chukua 40mls za mbolea kisha weka kwenye lita 20 za maji na nyunyuzia mboga zako. Unashauliwa usizidishe 720 mls za mbolea kwa hekari moja. Unaweza nyunyuzia mara tatu kwa kipindi chote.

TANGO,TIKITI NA NYANYA
Chukua 20mls za mbolea changanya na 20 litres za maji na kisha nyunyuzia. Unashauliwa usizidishe kiasi cha 720mls kwa kila hekari kila unaponyunyuzia hii mbolea. Unaweza kunyunyuzia hadi mara tatu hadi kufikia mazao yako kuvuna.https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1197164147037817&set=pcb.1549615308628166&type=3&relevant_count=2
https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1197164273704471&set=pcb.1549615308628166&type=3&relevant_count=1

ANZISHA BIASHARA YAKO NA NEPTUNUS


FAHAMU KAMPUNI YA NEPTUNUS Ni kampuni iliyo anzishwa mwaka 1989 baada ya viwanda vitatu vya umma kuungana. Viwanda hivi hujishugulisha na kutengeneza dawa za mahospitalini(chemical drugs) na dawa za mimea(natural drugs) yani dawa asili. Viwanda hivi ni NEPSTAR CHAIN DRUGSTORE CO. LTD kipo new york stock exchange marekani, NEPTUNUS BIO-ENGINEERING CO LTD kipo shenzhen stock exchange na NEPTUNUS INTERLOG BIOTECHNIQUE CO LTD kipo hongkong. Hayo matatu ni masoko ya hisa ya kampuni ya neptunus. Kampuni hii ilianza kuzalisha dawa kabisa za kutibu magonjwa sugu na virutubisho mbalimbali ambazo leo ni changamoto kubwa duniani kwani mwaka 1998 kampuni hii ilitunikiwa tuzo ya GMP(Great manufacturer Company) hii ni kwa sababu ilitunikiwa tuzo miaka mitatu mfululizo za NOBEL kutokana na bidhaa ya GOLDEN OYSTER na GINKARDIO suluhisho la pressure. Ndio mana nina penda kukuambia kua kampuni ina bidhaa bora jaribu kuchunguza kampuni zote zinazofanya MLM hapa Tanzania. Hazina tuzo hii ya GMP nina uhakika bidhaa ziko kutimiza malengo ya mteja na mfanya biashara anae taka kutimiza ndoto. Mwaka 2010 kampuni hii iliweka mikakati kuja kuisaidia AFRICA katika nyanja ya KIUCHUMI na kutokomeza MAGONJWA SUGU. Ndugu yangu kama wewe unahitaji pesa na kutimiza ndoto karibu utumie bidhaa hizi. Kampuni hii ilikaa chini na kupanga MIKAKATI chini ya usimamizi wa Ndug ZANG SMIN ambaye ni kijana mdogo aliyezaliwa mwaka 1969 na ni tajiri mkubwa sana china na anae miliki kampuni kubwa bora china nzima. Bwana ZANG SMINI alikaa chini na kuangalia makampuni mengine yaliyoko africa yalikuja na mtazamo gani na udhaifu gani katika bidhaa na biashara. Iliingia africa ikajenga makao makuu kila kanda GHANA,SOUTH AFRICA,KENYA na Ikasambaa nchi zingine. MAREKEBISHO YALIYOFANYWA NA KAMPUNI YA NEPTUNUS AMBAYO WATU BADO HAWAJAGUNDUA. Watu wengi tunajiingiza katika biashara ya mtandao bila kutengeneza msingi mzuri wa biashara na bila kuchunguza kampuni unayofanya nayo kazi. Leo hii nakupa siri ya utajili iliyopo neptunus haijagundulika. 1. Ni kampuni ambayo inatengeneza dawa katika package za kisasa yan SOFT GEL,CAPSULES,TABLETS. Dawa zote hizi zinatokana na mimea, matunda,samaki,na mboga mboga. Hizi ni 100% natural hazina chemical kabisa pia hawatumii vyakula na matunda ya kutengenezwa. Wanatumia mimea asilia. Hatuna MAJI,MAJANI YA CHAI NA BIDHAA ZINGINE ZA KUONGEZA MAUMBILE. 2. Ni kampuni ya pekee yenye DAWA kabisa za kutibu magonjwa TABIA wakati kampuni zingine zote zina VIRUTUBISHO TU. Njoo utumie dawa zetu kufanya biashara hakika HUTAJUTA. Dawa zetu zipo nyingi kila dawa na ugonjwa wake. 3. Ni kampuni ya pekee unaweza kutumia shilingi 26000 na ukaanza kufanya biashara yako kwa kuingia ubia na kupewa ruhusa ya kufanya kazi na kampuni ya neptunus. Kampuni zingine zina gharama kubwa hivyo ndio mana ika amua ije na mfumo huu. Pia unaweza kununya bidhaa hata moja moja sio package tu km makampuni mengine. FAIDA YA KUWA MSAMBAZAJI WA BIDHAA HIZI NA KUWA MFANYA BIASHARA WA MLM. Watu wengi sana wamekata tamaa na biashara hii ya MLM hii ni kwa sababu ya kukosea kampuni ya kufanya nayo kazi. Sasa leo nakwambia uhondo wa neptunus karibu sana tufundishane. 1. Ukisha jiunga utaruhusiwa kutumia bidhaa za neptunus kuuza kwa watu na kujipatia faida ya reja reja 20% 2. Unaruhusiwa kuajili watu wengi kadri uwezavyo kwani hao watu watalipwa na kampuni sio wewe. Hivyo we toa ajila kadri uwezavyo na uwafundishe hao wafanye biashara. Kampuni hii itakulipa kwa watu ulio wadhamini kwenye biashara kama manager wa team yako. 3. Utalipwa bonus kila mwisho wa mwezi asilimia 5-45 ya PESA ULIYOTUMIA KUNUNUA BIDHAA MWEZI HUO WEWE MWENYEWE. Pia utalipwa asilimia 0-45 ya pesa ambayo team yako imetumia kununua katika mwezi huo. 4. Kampuni hii kadri unavyopanda cheo itafikia kipindi unapunguza nguvu za kununua mzigo. Kwa mfano kampuni zingine kadri unavyokua na kipato kikubwa na gharama za kukaa katika level zinaongezeka. 5. Pia masharti ya kupanda level na kuongeza kipato ni marahisi kabisa hata mtu mwenye kipato kidogo anaweza kupiga business na akafanikiwa. Leo hii watu kama sisi ni wanafunzi lakini tumewekeza kwa watu. Je wewe unafikra potofu kuwa huwezi kufanikiwa kisa una haya ~Elimu ndogo ~Huna mshahara au mtaji ~Mama wa nyumbani ~huna elimu ya afya. ACHA FIKRA POTOFU NEPTUNUS KUNA MAFUNZO MAALUMU HUTOLEWA NDIO MANA WATU WAMEFANIKIWA NA WANAENDELEA KUFANIKIWA. Watu wengi tunaangalia kampuni inayosifika kwa mabaya ndio mana kila mtu haipendi. NEPTUNUS TANZANIA CO LTD Ndio kampuni itakayo timiza ndoto zako ACHANA na kampuni zinazokufanya uwe mtumwa kushinda barabarani unatafuta watu wa kuuzia bidhaa. Sisi huku tunatautwa na kupigiwa magoti. NJOO TUJIFUNZE KAMA KWELI UNA NDOTO KUBWA ZA MAISHA YAKO NA UMECHUKIA MAISHA YAKO UNAYO ISHI NAYO ~SIHITAJI MTU MWENYE NDOTO NDOGO ZA MAISHA~ Kama kweli unapenda kubadilisha maisha yako kwa hio pesa ya 26000 njoo utatimiza ndoto ndani ya malengo yako. Watu wengi tunazikimbia fursa na KUSEMA HUWEZI KUUZA DAWA.